Nenda kwa yaliyomo

kirinda

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru

Kiswahili

[hariri]

Nomino

[hariri]

kirinda (wingi virinda)

  1. vazi la wanawake linalovaliwa ndani ya nguo na huanza kiunoni kwenda chini

Tafsiri

[hariri]