kiraka

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru

Kiswahili[hariri]

Nomino[hariri]

kiraka (wingi viraka)

  1. kipande cha kitambaa kinachoshonwa kwenye nguo kuu kuu ili kufunika mashimo

Tafsiri[hariri]