Nenda kwa yaliyomo

kipindi

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru

Kiswahili

[hariri]

Nomino

[hariri]

kipindi (wingi vipindi)

  1. muda unaotumika kufanya jambo
  2. mchezo wa kuigiza katika televisheni

Tafsiri

[hariri]