Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru
kipimi cha joto
- Mfumo wa kipimo cha joto unaotumia vigezo vya digrii (°C), ambapo 0°C ni kiwango cha barafu na 100°C ni kiwango cha kuchemsha kwa maji
au chombo kinachotumika kupima kiwango cha joto
[hariri]