kimelea

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru

Kiswahili[hariri]

Nomino[hariri]

kimelea (wingi vimelea)

  1. mdudu au mnyama anayeishi kwa kutegemea mmea au mnyama mwingine

Tafsiri[hariri]