Nenda kwa yaliyomo

kichocheo

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru

Kiswahili

[hariri]

Nomino

[hariri]

kichocheo (wingi vichocheo)

  1. kitu cha kukolea moto
  2. kitu kinachotia ari ya kufanya jambo; kitu kinachotia shauku; motisha.
  3. katika elimu ya kemia dutu ambayo hu­badilisha kasi au kima cha mmenyuko wa kemikali
  4. jambo au wazo linalosisimua mawazo

Tafsiri

[hariri]