kibibi

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru
Jump to navigation Jump to search

Kiswahili[hariri]

Nomino[hariri]

kibibi

  1. mkate mtamu unaopikwa kwa unga wa mchele
  2. jina la heshima la dada

Tafsiri[hariri]