jumla yote au uzito wa viumbe hai
Mandhari
Kiswahili
[hariri]Nomino
[hariri]jumla yote au uzito wa viumbe hai
Pronunciation
[hariri]
- (Biojiografia, Ikolojia) Jumla ya wingi (kiasi cha maada) ya viumbe hai vyote vilivyopo katika mazingira fulani asilia.
- (Nishati) Maada zote za kikaboni ambazo zinaweza kutoa nishati kwa uharibifu