jemu

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru

Kiswahili[hariri]

Nomino[hariri]

jemu

  1. matunda yaliyochemshwa na kutiwa sukari yanayopakwa kwenye mkate

Tafsiri[hariri]