jehanamu

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru

Kiswahili[hariri]

Nomino[hariri]

jehanamu

  1. mahali wenye dhambi watachomeka kama inavyoaminiwa na wakristo

Visawe[hariri]

  • kuzimu

Tafsiri[hariri]