hori

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru

Kiswahili[hariri]

Nomino[hariri]

hori

  1. mtumbwi (boti ndogo iliyochongwa kutoka mti mmoja)
  2. sehemu ambapo wanyama wanawekwa chakula chao
  3. mkono wa bahari

Tafsiri[hariri]

  1. Kiingereza: canoe (en), dugout (en)
  2. Kiingereza: manger (en), trough (en)
  3. Kiingereza: creek (en), bay (en)