Nenda kwa yaliyomo

h

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru

h ni nomino. Iko katika ngeli ya i-/zi-. Wingi wa h ni h. Ni herufi ya nane katika alfabeti ya Kiswahili.

Hewa huzuiliwa na alasauti inapotamkwa yaani hewa hukwamizwa au huzuiliwa katika koromeo. Ni kikwamizo.

Inapotamkwa hutoa mlio kama mkwaruzo. Ni kikwaruzo.

Haisababishi kughuna inapotamkwa au haitikisi nyuzisauti inapotamkwa. Sighuna.

Inapotamkwa, hewa toka mapafuni hupitishwa taratibu au polepole.

Inapotamkwa, alasauti hukaribiana sana.

Inapotamkwa,