Nenda kwa yaliyomo

fira

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru

Kiswahili

[hariri]

Nomino

[hariri]

fira

  1. aina ya nyoka ambaye ni mkali na pia hutema mate
  2. tendo la mwanaume kuingiza uume wake kwenye mkundu wa mtu kwa mabavu

Tafsiri

[hariri]