Nenda kwa yaliyomo

fanyia

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru

Kiswahili

[hariri]

Kitenzi

[hariri]
  1. Fanya tendo kwa niaba ya mtu mwingine. Mf. Umenifanyia kazi kubwa sana.
  2. Tenda mtu vibaya au visivyo; Mf. Umenifanyia vitendo sivyo.

Moyo wanidadalika.