durusu
Mandhari
Kiswahili
[hariri]Kitenzi
[hariri]- Soma kitabu; soma kwa mazingatio
- Pitia tena au upya, zaidi masomo au kitabu
(tde) durusia, (tdew) durusiwa; (tdk) durusika; (tds) durusisha.
Ingizo hili ni sehemu ya mradi wa Kuboresha Wikipedia na Wikamusi ya Kiswahili. Unaweza kusaidia kuihariri na kuongeza maana. |