Nenda kwa yaliyomo

dira

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru

dira

  1. Taswira ya muda mrefu inayoonyesha wapi kampuni inataka kufika katika siku zijazo. Dira ni kauli inayohamasisha na kutoa mwelekeo mkuu kwa wafanyakazi na washikadau wote; vision.