Nenda kwa yaliyomo

dhoruba

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru

Kiswahili

[hariri]
Dhoruba

Nomino

[hariri]

dhoruba (dhoruba)

  1. Ni hali ya mchafuko wa angahewa unaosa babisha mabadiliko ya hali ya hewa na aghalabu unaweza kuhusishwa na radi, miale ya radi na mvua kubwa.

Tafsiri

[hariri]