dakua

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru
Jump to navigation Jump to search

dakua (kitenzi) hack udakuzi (nomino)hacking mdakuzi (nomino)hacker kudakua au (hacking) ni hali ya mtu kuweza kuingia na kupata habari ya mtu katika kompyuta au kifaa chochote cha elektroniki ambacho kimehifadhi ujumbe wa mtu,hufanyika bila idhini ya mwenye ujumbe huo...kwa mfano katika barua meme au e-mail.