mawingu pamba
Mandhari
(Elekezwa kutoka cumulonimbus cloud)
Kiswahili
[hariri]Nomino
[hariri]mawingu pamba (Mawingu pamba)
- Mawingu chamchela, Kumulonimbasi: mawingu mazito ambayo huwa yamesimama wima na aghalabu husababisha mvua kubwa ya radi.
Tafsiri
[hariri]Kiingereza cumulonimbus cloud (en)