chuma

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru
Jump to navigation Jump to search

Kiswahili[hariri]

Nomino[hariri]

chuma (wingi vyuma)

  1. madini yapatikannayo duniani ambayo hutumiwa kujenga vyombo vya nyumbani kwa mfano sufuria.