Nenda kwa yaliyomo

choo

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru

Kiswahili[hariri]

choo
choo ya kizungu
choo ya kieshia
choo ya zamani ya waroma
choo ya inje

Nomino[hariri]

choo (wingi vyoo)

  1. chumba au mahali penye kifaa cha kuenda haja
  2. aina ya minyoo wanaotumiwa kuvua samaki


Kisawe[hariri]

Tafsiri[hariri]