Nenda kwa yaliyomo

chipukizi

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru

Kiswahili

[hariri]

Nomino

[hariri]

chipukizi (wingi machipukizi)

  1. mmea ulioanza kuota
  2. mtu asiye na umri mkubwa

Tafsiri

[hariri]