chelewea
Mandhari
Kiswahili
[hariri]- Chelewa kwa sababu fulani. Pengine ulichelewa kwa ajili ya kutazama mpira au tabu ya usafiri.
- Mfano: "Nilichelewea kazini nikishangaa wezi."
Ingizo hili ni sehemu ya mradi wa Kuboresha Wikipedia na Wikamusi ya Kiswahili. Unaweza kusaidia kuihariri na kuongeza maana. |