chalcofili
Mandhari
Kiswahili
[hariri]NOMINO
[hariri]chalcofili
- chalcofili;kipengele au kiwanja kinachopendelea kuungana na sulfuri badala ya oksijeni katika mazingira ya kijiolojia.
ni neno linaloelezea madini ya kikemikaliambazo zinapenda kuunganika na elementi cha shaba au chuma
[hariri]- Kiingereza : CHALCOPHILE (en)