chaki

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru
Jump to navigation Jump to search

Kiswahili[hariri]

vipande vya chaki vya kuchora au kuandika.

Nomino[hariri]

chaki (wingi machaki)

  1. aina ya kalamu nyeupe unaotumiwa kuandika kwenye ubao
  2. aina ya mchwa anayeuma uchungu sana

Tafsiri[hariri]