chaga
Mandhari
Kiswahili
[hariri]Nomino
[hariri]chaga (jamii ya nomino, ngeli ya i/zi)
- Ni neno la kutaja mbao zilizojengwa mahususi kwa ajili ya kitanda. Aghalabu hukaa chini ya kitanda kisha godoro huja juu yake.
Matumizi
[hariri]- Chaga za kitanda chako zimevunjika'
Ingizo hili ni sehemu ya mradi wa Kuboresha Wikipedia na Wikamusi ya Kiswahili. Unaweza kusaidia kuihariri na kuongeza maana. |