Nenda kwa yaliyomo

bwanyenye

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru

Kiswahili

[hariri]

Nomino

[hariri]

bwanyenye (wingi mabwanyenye)

  1. mtu mwenye mali nyingi
  2. kabaila yeyote wa mjini
  3. Mtu anayependa starehe bila kufanya kazi
  4. Mtu aliye na kitambi kikubwa au tumbo kubwa lililoshuka

Visawe

mwinyi

Tafsiri

[hariri]