Nenda kwa yaliyomo

buibui

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru

Kiswahili

[hariri]
buibui (mdudu)

Nomino

[hariri]

buibui

  1. mdudu mwenye miguu nane na hutengeneza wavu
  2. vazi la heshima la wanawake waislamu

Tafsiri

[hariri]