Nenda kwa yaliyomo

bembea

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru

Kiswahili[hariri]

Nomino[hariri]

bembea (msamiati: bembea)

  1. Kitu k.m kiti au ubao unaoning'nizwa kwa kamba au minyororo miwili kwa ajili ya watu hususani watoto kulewalewa ili waburudishe

Mifano[hariri]

  1. Watoto wanachezea bembea