baraka

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru

Kiswahili[hariri]

Nomino[hariri]

baraka (baraka)

  1. heri njema kumtakia mtu furaha na mafanikio

Tafsiri[hariri]

Kiingereza: blessing (en) Luhya: ekhavi (luy)