bamba
Mandhari
Kiswahili
[hariri]Kielezi
[hariri]bam·ba (nomino)
- Kitu bapa, mara nyingi la mviringo, ambalo linatumika kwa kusukumia maji au kusukumia kitu kingine.
- Bati jembamba linalotumika kuzuia matope yasichafue baiskeli au gari; bango
- Fanya ngono au kubashia mtu bila hiyari yake
Mifano
[hariri]- Nimeweka bamba bora kabisa ili tope zisifinikie.
- Amenibambia huyu mshenzi lazima nimkomeshe.
Ingizo hili ni sehemu ya mradi wa Kuboresha Wikipedia na Wikamusi ya Kiswahili. Unaweza kusaidia kuihariri na kuongeza maana. |