awamu ya mwezi
Mandhari
Kiswahili
[hariri]Nomino
[hariri]awamu ya mwezi
- Hatua mbalimbali za mwezi unavyoonekana kutoka duniani, kama vile mwezi mpevu, nusu mwezi, na mwezi mwandamo.
Tafsiri
[hariri]- Kiingereza : lunar phase (en)
awamu ya mwezi