Nenda kwa yaliyomo

asherati

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru

Kiswahili[hariri]

Nomino (a- / wa - )[hariri]

asherati (asherati)

  1. anayependa kufanya ngono sana na kiholela, mtu mzinifu, mzinzi /Kar/

Kisawe[hariri]

  1. mzinzi
  2. mzinifu


Tafsiri[hariri]