Nenda kwa yaliyomo

ashakum

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru

Kiswahili

[hariri]

Kihisishi (ki )

[hariri]

ashakum (ashakum)

  1. neno linalotumiwa kuomba radhi kabla mtu hajasema neno la aibu au matusi, niwieni radhi /Kar/


Tafsiri

[hariri]