Nenda kwa yaliyomo

andaa

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru

Kiswahili

[hariri]

Nomino

[hariri]

andaa

  1. fanya kitu au jambo kuwa tayari kutumika, kutekelezwa au kufanyika k.m andaa karamau, andaa mkutano, andaa mtu, tayarisha mtu kwa jambo fulani

Tafsiri

[hariri]
Ingizo hili ni sehemu ya mradi wa Kuboresha Wikipedia na Wikamusi ya Kiswahili. Unaweza kusaidia kuihariri na kuongeza maana.