Nenda kwa yaliyomo

amulia

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru

Kiswahili

[hariri]

Kutoka neno

[hariri]

Kigezo:-etym- Kutoka Kiarabu Kigezo:ARchar ("kufanya kazi, kufanya bidii").

Kitenzi

[hariri]

a·mu·li·a (neno la vitendo)

  1. Kuamulia ni hatua ya kusuluhisha ugomvi baina ya watu wawili.
  • Mfano:* Aliamualia ugomvi kati ya ndugu wawili.
  1. Kutoa uamuzi thabiti juu ya kitu fulani.
  • Mfano:* Nimekuamuilia leo lazima nikuonyeshe ubingwa wangu.


Ingizo hili ni sehemu ya mradi wa Kuboresha Wikipedia na Wikamusi ya Kiswahili. Unaweza kusaidia kuihariri na kuongeza maana.