Nenda kwa yaliyomo

amfibia

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru

Kiswahili

[hariri]

Nomino

[hariri]

amfibia n-n (wingi amfibia)

  1. Kundi la wanyama wanaoanza maisha yao majini na kupumua kwa matamvua, na baadaye huishi nchi kavu na kupumua kwa mapafu, kama vile chura.

Tafsiri

[hariri]