ambaa

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru

Kiswahili[hariri]

kitenzi[hariri]

ambaa

  1. pita kandokando bila kugusa
  2. kaa mbali na kitu au mtu