amania

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru

Kiswahili[hariri]

Kitenzi[hariri]

amania kuwa na matarajio ya kupata kitu

Visawe[hariri]

  • Tazamia
  • Taraji
  • Tarajia
  • Tegemea
  • Tumai
  • Rajua