Nenda kwa yaliyomo

amana

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru

Kiswahili

[hariri]

Nomino

[hariri]

amana

  1. kitu anachopewa mtu kukihifadhi na kukirejesha mwenyewe atakapokitaka au kukipelekea kwa mwingine anayehusika au kikipeleka kwa mwingine anayehusika
  2. Kitu cha dhamana kubwa