ama

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru

Kiswahili[hariri]

kiunganishi[hariri]

ama

  1. fanya hili au lile
  2. usemi wa kumchochea msikilizaji atoe maoni yake ya kukubali au kukataa

visawe[hariri]

  • au
  • sivyo

kitenzi[hariri]

ama

  1. ongeza kiambato au kitu kinacho husu kingine

visawe[hariri]

  • ambata