Nenda kwa yaliyomo

alofoni

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru

Kiswahili

[hariri]

nomino

[hariri]

alofoni (sarufi) umbo jingine la fonimu ileile; kibadala cha fonimu kinachotokana na mazingira ya kiisimu bila kubadilisha maana: [r] na [d] ~za [r] `mtoto mrefu` na `kamba ndefu`