Nenda kwa yaliyomo

alhamdulilahi!

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru

Kiswahili

[hariri]

kiingizi

[hariri]

alhamdulilahi! (kidini)sifa njema zote ni za mwenyezi Mungu tu (hutumika kuonyesha shukrani au furaha mtu anapopata zawadi, cheo, neema au kufikiwa na msiba au huzuni)