alfafa

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru

Kiswahili[hariri]

nomino[hariri]

alfafa pia alfaafa kipande cha pamba afungwacho mwanaume baada ya kutahiriwa ili asijitoneshe

visawe[hariri]

  • kizingitine
  • kata