alfabeti

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru
Jump to navigation Jump to search

Kiswahili[hariri]

nomino[hariri]

herufi za lugha zilizopangwa kwa utaratibu maalumu kama vile a, b, ch, d, e, na kadhalika ambazo hutumiwa katika maandishi; abjadi, abtathi