alasauti

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru

Kiswahili[hariri]

nomino[hariri]

alasauti (sarufi) sehemu ya kutolea sauti za lugha iliyomo ndani ya kinywa cha binadamu kama vile ulimi, ufizi, kaakaa na kadhalika;

  • alasauti songezi- alasauti ambazo zina uwezo wa kujongea wakati wa utamkaji wa sauti za lugha kama vile ulimi na midomo
  • alasauti tuli- alasauti ambazo hazina uwezo wa kujongea wakati wa utamkaji wa sauti za lugha kama vile ufizi na kaakaa