Nenda kwa yaliyomo

alama ya kidole

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru

Kiswahili

[hariri]

Nomino

[hariri]

alama ya kidole (wingi alama za vidole)

  1. hutumika kuonyesha kurasa za michoro mbalimbali
  2. alama ya kidole kilichopakwa wino na kutiwa kwenye karatasi

Tafsiri

[hariri]