akronimu neno lililoundwa kutokana na herufi za mwanzo za majina kwa mfano TATAKI ni Taasisi ya Taaluma za Kiswahili