Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru
akika
- (kidini)sherehe anayofanyiwa mtoto anapofika umri wa siku saba au zaidi ambapo mbuzi huchinjwa na mifupa yake hufukiwa mzima
- (kidini)mbuzi au kondoo anayechinjwa katika sherehe ya kukata nywele za mtoto mchanga