Nenda kwa yaliyomo

akidi

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru

Kiswahili

[hariri]

nomino

[hariri]

akidi

  • ufungaji wa ndoa
  • wingi wa watu wanaohitajiwa ili mkutano au uamuzi uweze kufanyika

kitenzi

[hariri]

akidi

  • tosha
  • ghushi: bila kuzidi wala kupungua
  • maliza, kamilisha, hitimisha,